Hamuamini Mkewe Kwa Sababu Hakumkuta Bikira
SWALI:
Assalam alaikum.mimi ni kijana na nina mke na watoto.lakini tangu siku ya harusi yangu nimekuwa sina uaminifu kwa mke wangu. kwa sababu siku ya kwanza ya harusi yetu wakati tunafanya tendo la ndoa nimehisi
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani kwa swali lako kuhusu kutomuamini mkeo.
Kwanza tunataka kukunasihi
Pili tufahamu kuwa kizinda cha mwanamke kinachomfanya yeye kubaki katika ubikira ni chororo
Hivyo, siku ya kwanza ulifanya makosa kumuingizia vidole na hivyo kuondosha ubikira wa mkeo. Kinachotakiwa ni wewe kumuamini mkeo kwa analosema kwani kutofanya hivyo kutaleta kukosekana uaminifu na kupotea mapenzi katika maisha yenu na hatimaye kuyaparaganya.
Na Allaah Anajua zaidi