Mume Hamtimizii Haki Yake Ya Tendo La Ndoa Japokuwa Wanalala Kitanda Kimoja, Hana Masikilizano Naye
SWALI:
ASALAM ALEYKUM; NDUGU ZANGU WAISLAMU:
MIMI NI MAM WA MTOTO MMOJA SASA NIMEOLEWA MIAKA MINNE SASA; TANGU NIJIFUNGU HADI SASA MTOTO WANGU ANA MIAKA MITATU (3) hadi sasa mimi na mume wangu hatuonani kimapenzi tunaishi pamoja na tunalala kitanda kimoja. Kwa kweli ninasikitika
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani kwa swali lako kuhusu mumeo kutokutimizia haki yako ya tendo la ndoa.
Kwanza tunakupongeza
“Kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi” (Al-Inshiraah [94]: 5).
Katika muda huo sema kwa mfano, miezi minne au zaidi kidogo unaweza kufanya juhudi tena katika kufanya yafuatayo kwani huenda mumeo akaweza kubadilika. Mambo yenyewe ni:
1. Tafuta wakati muafaka wa kuzungumza na mumeo kuhusiana na shida aliyonayo – ya kutotaka kufanya mapenzi nawe mbali na kuwa kuhusiana na kutotaka kupata mtoto ni suala ambalo mnaweza kuzungumza kwa makini. Wakati huo unapoupata, utakuwa ni wakati wa faragha baina yenu ambapo mtakuwa mnazungumza mambo tofauti na
Njia hiyo ikishindikana basi tafuta njia ya pili ya kumpatia vitabu vinavyohusiana na namna wanandoa wanatakiwa waishi katika muono na msimamo wa Kiislamu. Mfano ni Adabu za Ndoa na kitabu hicho unaweza kukipata katika Alhidaaya au mawaidha yanayohusiana na mafundisho ya Uislamu kuhusiana na
Vitabu hivi hapa vitawasaidia:
Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika (Aadabu Az-Zafaaf Fiy As-Sunnat Al-Mutwahharah)
Na video hizi pia:
JUMA AMIYR - Chumba Cha Ndani Cha Mtume - 1
JUMA AMIYR - Chumba Cha Ndani Cha Mtume - 2
2. Tunawaombea muafaka katika kutatua tatizo
3. Ikiwa njia hiyo ya pili pia umeitumia bila ya mafanikio itabidi uitishe kikao baina yako, mumeo, wazazi au wawakilishi wa mumeo na wale wako. Katika kikao hicho inabidi uelezee tatizo wazi wazi ili upatikane ufumbuzi wa tatizo
4. Ikiwa njia hiyo ya hapo juu pia haikupatikana itabidi suala
Mara nyingi wanandoa huingia katika Sunnah hii kubwa bila kujua wajibu na haki zao, hivyo kuleta tatizo kubwa baina
Tafadhali bonyeza viungo vifuatavyo upate maelezo zaidi:
Ikiwa Hawaridhiani Katika Kitendo Cha Ndoa Wafanye Nini?
Mume Au Mke Hawezi Tendo La Ndoa Kwa Zaidi Ya Miaka 5, Hukmu Ni Nini?
Mume Hamtoshelezei Matamanio Yake Ya Tendo La Ndoa, Anaomba Ushauri
Mume Kahama Chumba Kwa Miezi 3 Hafanyi Tendo La Ndoa, Akiulizwa Anasema Anachoka Kazini
Sina Raha Na Maisha Ya Ndoa Mume Hana Hamu Na Mimi Wala Hanishughulikii
Tunawaombea muafaka katika kutatua tatizo
Na Allaah Anajua zaidi