Watoto Baada Ya Ndoa Ya Uzinifu

 

SWALI 

 

Na jee kwa baadae wakijaaliwa kupata mtoto, mtoto huyu atakuwa na haki ya kurithi kwa 

baba yake huyu, au atakuwa ni mtoto wa halali wa ndoa?

 

 

JIBU:

 

Kwanza kabisa ihakikishwe kuwa mwanamke hakushika mimba kabla ya ndoa ya halali,

 kwani kama ni mja mzito kabla ya ndoa, basi mtoto atakuwa ni wa tendo la haraam 

na hawezi kurithi.   Kisha baada ya ndoa halali, yaani itakayotimiza shuruti zake, na 

mkijaaliwa kupata watoto, bila shaka watoto watakaozaliwa ndani ya ndoa halali 

watakuwa ni halali kwa hiyo watakuwa na haki zote kwa wazazi kama kurithi n.k..

 

 

 Wa Allaahu A'alam

 

 

 

Share