Kulea Watoto Wa Mume Kwa Mke Mwingine
SWALI:
Assalaamu alaykum, wa Ramadhan Kareem!
Nasikitika kua nyumba nyingi, wanawake hawalei watoto wa mume kwa ndoa nyengine vile wanavyo walea watoto wao. Ikiwezekana, tafadhali tupe hukmu ya watu
JIBU:
Sifa zote njema anastahiki Allaah Mtukufu, Swalah na salamu zimfikie kipenzi chetu, Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), ahli zake na Maswahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wetu wema na waliowafuata kwa kheri mpaka Siku ya Kiyama.
Hili ni tatizo ambalo lipo katika nyumba zetu na huwa linaletwa zaidi na malezi mabaya ya vijana. Hili ni duara ambalo halina mwanzo na hivyo halina mwisho. Watoto wanainukia katika nyumba za mama wa kambo au baba wa kambo wakawa wanateswa na kusumbuliwa na hata kudhulumiwa. Hivyo wao wanapooa au kuolewa na mume au mke ana watoto wake nao huwa
Kwa sababu hiyo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alihimiza
Tatizo
Tujue kuwa Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) wamekataza dhulma katika njia zote. Na mwenye kudhulumu atakuwa katika kiza cha Siku ya Kiyama na adhabu ambayo atapatiwa na Allaah. Tunawanasihi watu ambao katika mabega
Na Allaah Anajua zaidi.