Mke Hataki Kujifunza Dini Ya Kiislam Na Hana Mapenzi Na Mume
SWALI:
mke wangu hataki nimfunze dini kila nikimwabia anasema hana wakati, hawezi kuvaa hijaab eti angaliki mtoto mdogo, mapenzi hana kwangu, nikimtaka kwa kitendo cha ndowa anadai amecoka, mara anasema eti hataki anakazi za nyumabani yaani hataki kujuwa kitu chochote cha islam pia hanitoshelezi kimapenzi hana mapokezi mazuri kwangu mapishi na kadhalika siwezi kuyamaliza mabo yote ni mengi sana yaani kwa kifupi sina raha ya mke wangu hata kidogo na inajuzu kukerahika hivi?na nikiondoka duniani katika hali iyi itakuwa vipi?
Nimeamuwa kumuacha lakini nimesema niulize kwanza wanacuoni kabla ya kucujuwa hatuwa yoyote yaani nilfanya subira huwu ni mwaka wa tatu sasa nasubiri. Najuwa kama ina laha maswabirina nafsi yangu imecoka mungu mweney anaona. Nakavyo ona ni aduwi wa kiislam ndio mana nataka niepukane nae sasa ni ipi njiya nzuri ya kuepukana nae kwa kisheria?
na hajuwi mabo ya ku kaa eda wala talaka nitafanyaje?
Nasubiri jibu lenu na najuwa
JIBU:
AlhamduliLLaah - Sifa njema zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.
Hili ni tatizo letu kubwa katika jamii yetu ya kuoa au kuolewa kwa sababu ya uzuri, mali, jaha na nasaha lakini kisha majuto yanakuwa makubwa
Hivyo, tunatakiwa kubadili mienendo yetu ili yaende sambamba na Sunnah za Mtume (Swalla Llaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na huu usumbufu utakuwa ni wenye kuondoka katika jamii.
Nasaha zetu katika
Ikiwa hata kwa
Ikiwa imeshindikana basi chukua hatua ya mwisho nayo ni kufanya kikao baina yako wewe, mkeo, na jamaa wa karibu (maana
Kuhusu talaka na eda si mambo mazito kwani unaweza ukamfundisha yanayotakiwa kufanywa na yeye katika kipindi hicho. Baada ya hapo ni yeye mwenyewe kutekeleza hayo ambayo yanafaa kutekelezwa.
Na Allaah Anajua zaidi