Mke Akimtamkia Mume Kuwa Amezini Atakuwa Ameachika?
SWALI:
Assalam alaykum
Naomba kuuliza kuwa mume akimtamkia mkewe kuwa nimezini na mtu fulani atakuwa amemuacha?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Mume akimtamkia mkewe "Nimezini na mtu fulani" atakuwa hajamuacha kwani tamko
Na Allaah Anajua zaidi