Imaam Fudhwayl bin 'Iyaadhw - Fuata Haki, Usifuate Wengi
Fuata Haki, Usifuate Wengi
Imaam Fudhwayl Bin 'Iyaadhw (Rahimahu Allaah)
Amesema Fudhwayl bin ´Iyaadhw (Rahimahu Allaah):
“Fuata Njia ya uongofu na wala haikudhuru wachache wa wenye kuifuata. Tahadhari na njia za upotevu na wala usidanganyike na wingi wa wenye kuifuata”
[Al-I'tiswaam, 1/112, 'Uluww Al-Himmah, uk. 41]
