Imaam Ibn Taymiyyah: Duru Ya Tawhiyd Na Istighfaar Katika Kuipata Khayr Na Kuondosha Shari
Duru Ya Tawhiyd Na Istighfaar Katika Kuipata Khayr Na Kuondosha Shari
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
"Tawhiyd ni Dini Nzima. Ndio msingi wake, ndio matawi yake na kiini chake. Na ndio khayr yote.
Na Istighfaar inaondosha shari zote. Hivyo, kutokana na viwili hivi (Tawhiyd na Istighfaar) kunapatikana kutokana navyo, khayr zote na kunaondoka shari zote."
[Majmuw' Al-Fataawaa, mj.6, uk.274]