Imaam Maalik - Wafundisheni Watoto Wenu Mapenzi Kwa Maswahaba (Ridhw-waanu Allaah 'Alayhim)
Wafundisheni Watoto Wenu Mapenzi Kwa Maswahaba (Ridhw-waanu Allaah 'Alayhim)
Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) amesema:
"Walikuwa Salaf wakiwafundisha watoto wao mapenzi kwa Abu Bakr na 'Umar, kama wanavyofundisha Suwrah katika Qur-aan."
[Sharh Uswuwl I'tiqaad Ahl As-Sunnah Wal-Jamaa'ah, Athar namba 2325]
