Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Al-Qurtwubiy - Anayekaa Vikao Vya Maasi Na Hawakatazi Wenzake, Anaingia Naye Kwenye Madhambi
Imaam Al-Qurtwubiy - Anayekaa Vikao Vya Maasi Na Hawakatazi Wenzake, Anaingia Naye Kwenye Madhambi
Anayekaa Vikao Vya Maasi Na Hawakatazi Wenzake, Anaingia Naye Kwenye Madhambi
www.alhidaaya.com
Imaam Al-Qurtwubiy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Yeyote anayekaa kwenye kikao cha maasi na hakatazi wenzake, anakuwa pamoja nao sawa kwa madhambi (wanayochuma).”
[Ahkaam Al-Qur-aan, juz. 5, uk. 418]