Imaam Ibn Baaz: Makosa Yaliyoenea Kwenye Ndimi Za Watu-01: Kauli "Allaah Yupo Katika Kila Zama Na Kila Sehemu"
Makosa Yaliyoenea Kwenye Ndimi Za Watu - 01
Kauli "Allaah Yupo Katika Kila Zama Na Kila Sehemu"
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
"Kauli hii ni baatwil, na haya ni maneno wayasemayo watu wa bid'ah.
Bali Allaah Yupo juu ya 'Arsh, juu ya viumbe Vyake vyote."
[Al-Fataawaa, juz. 6, uk. 434]
