Shaykh Fawzaan: Usimpende Kafiri Lakini Amiliana Naye Kwa Uadilifu Na Wema
Usimpende Kafiri Lakini Amiliana Naye Kwa Uadilifu Na Wema
Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaahu) amesema:
“Usimpende Kafiri abadan. Lakini utaamiliana naye kwa uaminifu na ukweli na muamala mwema, hakuna ubaya.”
[Sharh Fat-h Al-Majiyd 30.04.1437H]