'Abdullaah bin Mas'uwd - Fuateni Wala Msizushe
Fuateni Wala Msizushe Mmetoshelezewa
‘Abdullaah bin Mas’uwd (Radhwiya Allaahu ‘anhu) amesema:
“Fuateni wala msizushe, mmeshatoshelezewa (mmekamilishiwa Dini)."
[Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah (1/86)]
(Yaani Dini ishakamilika na mafunzo yaliyopokelewa lutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) yametosheleza; hakuna haja ya mtu kuzusha au kuingiza lake jipya katika Dini).
