Imaam Ibn Taymiyyah: Kupeana Mikono Baada Ya Swalaah Ni Bid'ah

Kupeana Mikono Baada Ya Swalaah

 

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

“Ama kupeana mikono baada tu ya kumalizika Swalaah, hiyo ni bid’ah. Na hakufanya hilo Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam). Na wala hakulipendezesha hilo yeyote katika ‘Ulamaa.”

 

 

[Majmuw’ Al-Masaail, 7/403]

 

 

Share