Imaam Ibn Taymiyyah: Ni Nini Maana Ya ‘Ibaadah?
Ni Nini Maana Ya ‘Ibaadah?
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
“’Ibaadah ni linalokusanya kila analolipenda Allaah na kuliridhia, miongoni mwa maneno na vitendo, vilivyojificha na vilivyodhihiri.”
[Al-Fataawaa Al-Kubraa, mj. 5, uk. 154]
