Imaam As-Sa’dy: Miongoni Mwa Alama Za Kumkhofu Allaah (سبحانه وتعالى)
Miongoni Mwa Alama Za Kumkhofu Allaah (سبحانه وتعالى)
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu Allaah)
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Alama ya khofu ni kukimbilia na kujitahidi kukamilisha ‘amali na kuitengeneza na kuitolea nasaha.”
[Imaam As-Sa’dy – Taysiyr Al-Kariym Ar-Rahmaan Fiy Tafsiyr Kalaam Al-Mannaan]
