Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kupatia Sunnah Moja Ni Bora Kuliko Wingi Wa Matendo
Kupatia Sunnah Moja Ni Bora Kuliko Wingi Wa Matendo
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
“Kupatia (kutekeleza) Sunnah moja ni bora kuliko wingi wa matendo (yasiyokuwa ya Sunnah), na hivi ndivyo Anavyosema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):
لِيَبْلُوَكُمْ أَيُّكُمْ أَحْسَنُ عَمَلًا ۚ
“Ili Akujaribuni ni nani kati yenu mwenye ‘amali nzuri zaidi.” [Al-Mulk: 2]
[Swifatu Asw-Swalaah (uk. 170)]
