Imaam Sufyaan Ath-Thawriy: Tenda ‘Amali Kwa Ajili Ya Dunia Na Aakhirah Kwa Kadiri Ya Kuweko Kwako
Tenda ‘Amali Kwa Ajili Ya Dunia Na Aakhirah Kwa Kadiri Ya Kuwepo Kwako
Imaam Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah)
Mtu alimuuliza Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah): “Niusie: Akasema:
“Tenda ‘amali kwa ajili ya dunia kwa kadiri ya kubakia kwako humo, na kwa ajili ya Aakhirah kwa kadiri ya kubakia kwako humo, was-salaam.”
[Hilyat Al-Awliyaa (7/56)]