Imaam Ibn Taymiyyah: Furaha Ya Nafsi Ni Kuishi Maisha Yenye Manufaa Kwa Kumwabudu Allaah
Furaha Ya Nafsi Ni Kuishi Maisha Yenye Manufaa Kwa Kumwabudu Allaah
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
Furaha ya nafsi ni kuishi maisha yenye manufaa kwa kumwabudu Allaah. Na pindi usipoishi maisha haya basi huwa ni maisha ya wafu na hayawi ni maisha ya asili yenye kuwawajibikia adhabu, basi haiwi ni maisha yenye uhai wenye kuneemeka na uhai, wala si maiti iliyostarehe mbali na adhabu."
[Majmuw’ Al-Fataawaa (8/206)]