Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Hikmah Ya Istighfaar Baada Ya Swalaah
Hikmah Ya Istighfaar Baada Ya Swalaah
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Muhammad bin Swaalih Al-'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):
"Hikmah katika kufanya Istighfaar baada ya Swalaah, ni kwamba, mwana Aadam hakosekani na mapungufu ndani ya Swalaah yake, kwa ajili hiyo, kawekewa shariy'ah ya kufanya Istighfaar mara tatu (ili apate kusamehewa yale mapungufu yaliyomo ndani ya Swalaah yake)."
[Al-Fataawa 13/290]