06-Imaam Ibn Baaz: Inaruhusiwa Kubadilisha Ihraam Kwa Ajili Ya Kuikosha?
Inaruhusiwa Kubadilisha Ihraam Kwa Ajili Ya Kuikosha?
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
SWALI:
Je, inaruhusiwa kubadilisha ihraam kwa ajili ya kuikosha?
JIBU:
Hakuna ubaya kuosha (nguo ya) ihraam au kubadilisha na kutumia nyingine ikiwa mpya au kukuu.
[Majmuw' al Fataawa Samaahat Shaykh ibn Baaz, Mjalada 6, Uk. 96, Fatwa Namba 45].