Imaam Hasan Al-Baswriy: Nyoyo Zikifa Shikilieni Yaliyo Fardhi Na Zikifufuka Zileeni Kwa Yale Ya Sunnah
Nyoyo Zikifa Shikilieni Yaliyo Fardhi Na Zikifufuka Zileeni Kwa Yale Ya Sunnah
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Hakika nyoyo hufa na hufufuka. Basi zitakapokufa shikilieni (kutenda) yaliyo ya fardhi. Na zikifufuka basi zileeni kwa yale ya Sunnah.”
[Az-Zuhd li-Imaam Ahmad (333)]
