06-Zawadi Kwa Wanandoa: Kumuusia Mke:
Zawadi Kwa Wanandoa
06-Kumuusia Mke
استحباب وصية الزوجة
Anas amesema: walikuwa Masahaba wa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) anapoelekea mke kwa mumewe, wanamuhimiza katika kumuhudumia mumewe na kuangalia na kuchunga haki zake.