Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Rajab: Haikuthibiti Kuwa Tarehe 27 Rajab Ni Siku Ya Israa Wal-Mi’raaj
Haikuthibiti Kuwa Tarehe 27 Rajab Ni Siku Ya Israa Wal-Mi’raaj
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Shaykh Muhammad bin ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema: “Ama usiku wa ishirina na saba (27) katika Rajab, watu wanadai kuwa ni usiku wa Mi’raaj ambao Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alipaishwa mbinguni kwa Allaah ('Azza wa Jalla), lakini hii haikuthibiti katika taariykh (historia). Na kila kilichokuwa hakikuthibiti basi huwa ni batili.” [Majmuw’ Fataawaa Shaykh Muhammad bin ‘Uthyamiyn]