078-Hiswnul-Muslim: Anachoambiwa Kafiri Anapopiga Chafya (Kuchemua)
Hiswnul-Muslim
078-Anachoambiwa Kafiri Anapopiga Chafya (Kuchemua)
[189]
Anapopiga chafya Kafiri akamshukuru Allaah, aambiwe:
يَهْـديكُـمُ اللهُ وَيُصْـلِحُ بالَـكُم
Yahdiykumu-Allaahu wa Yuswlihu baalakum
Allaah Akuongoze na Akutengenezee mambo yako[1]
[1]Hadiyth ya Abu Muwsaa Al-‘Ash’ariyy (رضي الله عنه) - At-Tirmidhiy (5/82) [2739], Ahmad (4/400), Abu Daawuwd (4/308) [5038], na taz Swahiyh At-Tirmidhiy (2/354)
