079-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kumuombea Aliyeowa
Hiswnul-Muslim
079-Du’aa Ya Kumuombea Aliyeowa
[190]
بارَكَ اللّهُ لَك، وَبارَكَ عَلَـيْك، وَجَمَعَ بَيْـنَكُما في خَـيْر
Baaraka-Allaahu laka, wa Baaraka ’alayka, wa jama’a baynakumaa fiy khayr
Allaah Akubariki na Abariki juu yako, na Awajumuishe katika kheri[1]
[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah (رضي الله عنه) “Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم)
كانَ إِذَا رَفّأَ الإنْسَانَ، إذَا تَزَوّجَ قالَ: ((بَارَكَ الله وبَارَكَ عَلَيْكَ. وَجَمَعَ بَيْنَكُمَا في الْخَيْرِ))
“Alikuwa mtu anapofunga ndoa husema: ((Allaah Akubariki na Abariki juu yako, na Awajumuishe katika kheri)) - Aswhaab As-Sunan isipokuwa An-Nasaaiy; Abu Daawuwd [2130], At-Tirmidhiy [1091], Ibn Maajah [1905] na taz Swahiyh Ibn Maajah (1/324) na Swahiyh At-Tirmidhiy (1/316)