114-Hiswnul-Muslim: Anayopaswa Kusema Muislamu Akisifiwa
Hiswnul-Muslim
114-Anayopaswa Kusema Muislamu Akisifiwa
[232]
اللَّهُمَّ لَا تُؤاَخِذْنِي ِبَما يَقُولُونُ، وَاغْفِرْ لِي مَالا يَعْلَمُونَ وَاجْعَلْنِي خَيْراً مِمَّا َيظُنُّونَ
Allaahumma laa Tuaakhidhniy bimaa yaquwluwn, waghfirliy maa laa ya’-lamuwn, waj-’alniy khayrn mimma yadhwunnuwn
Ee Allaah, Usinichukulie kwa yale wanayoyasema na Nighufurie kwa yale wasiyoyajua, na Nijaalie bora kuliko wanavyonidhania[1]
[1]Kauli ya Swahaaba - Al-Bukhaariy katika Al-Adab Al-Mufrad (761), na ameisahihisha Isnaad yake Al-Albaaniy (رحمه الله) katika Swahiyh Al-Adab Al-Mufrad [585]. Na yaliyo katika mabano ni ziada ya Al-Bayhaqiy katika Shu’b Al-Iymaan (4/228) kutoka njia nyingine.