115-Hiswnul-Muslim: Vipi Alete Talbiyah Aliyehirimia Kwa Hajj Au 'Umrah
Hiswnul-Muslim
115-Vipi Alete Talbiyah Aliyehirimia Kwa Hajj Au 'Umrah
[233]
لَبَّيْكَ اللَّهُمَّ لَبَّيْكَ، لَبَّيْكَ لا شَرِيكَ لَكَ لَبَّيْكَ، إنَّ الْحَمْدَ، وَالنِّعْمَةَ ،لَكَ وَالْمُلْكُ، لا شَرِيكَ لَكَ
Labbayka-Allaahumma Labbayk. Labbayka laa shariyka Laka Labbayk. Innal-Hamda, wan-ni’-matah, Laka wal-Mulk. Laa shariyka Lak.
Nimekuitikia (ee Allaah) nimekuitikia (ee Allaah), nimekuitikia (ee Allaah) Huna mshirika nimekuitikia (ee Allaah), hakika Kuhimidiwa na Neema na Ufalme ni Vyako Huna mshirika."[1]
[1]Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Umar (رضي الله عنهما) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (3/408) [1549], Muslim (2/481) [1184].