117-Hiswnul-Muslim: Du’aa Baina Ya Nguzo Ya Al-Yamaaniy na Hajar Al-Aswad
Hiswnul-Muslim
117-Du’aa Baina Ya Nguzo Ya Al-Yamaaniy na Hajar Al-Aswad
[235]
Alikuwa Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) akisema baina yake:
رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ
Rabb wetu Tupe katika dunia mazuri na katika Aakhirah (pia Tupe) mazuri na Tukinge na adhabu ya Moto[1]
[1]Hadiyth ya ‘Abdullaah bin As-Saaib (رضي الله عنه) - Abu Daawuwd (2/179) [1892], Ahmad (3/411), Al-Baghaawiy katika Sharh As-Sunnah (7/128), na Al-Albaaniy (رحمه الله) ameipa daraja ya Hasan katika Swahiyh Abi Daawuwd (1/354). Aayah ni katika Suwrat Al-Baqarah (2:201)