127-Hiswnul-Muslim: Inavyopaswa Kusema Wakati Wa Kuchinja
Hiswnul-Muslim
127-Inavyopaswa Kusema Wakati Wa Kuchinja
[246]
بِسْمِ اللهِ واللهُ أَكْبَرُ (اللَّهُمَّ مِنْكَ ولَكَ) اللَّهُمَّ تَقَبَّلْ مِنِّي
BismiLLaah wa Allaahu Akbar. Allaahumma Minka walaka, Allaahumma Taqabbal minniy
Kwa jina la Allaah na Allaah ni Mkubwa (Ee Allaah huyu (mnyama) anatoka Kwako na ni Wako), Ee Allaah nitakabalie[1]
بِسْمِ اللهِ واللهُ أَكْبَرُ
BismiLLaah Allaahu Akbar
ni Hadiyth ya Hadiyth ya Anas bin Maalik (رضي الله عنه) .
اللَّهُمَّ مِنْكَ ولَكَ
Allaahumma minka walaka
ni Hadiyth ya Jaabir bin ‘Abdillaah (رضي الله عنهما) Muslim (3/1557), Al-Bayhaqiy (9/287) na yaliyo katika mabano imeishia kwa Bayhaqiy (9/287) na wengineo na ibara ya mwisho kutoka katika riwaayah ya Muslim.