128-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kuzuia Vitimbi Vya Mashaytwaan
Hiswnul-Muslim
128-Du’aa Ya Kuzuia Vitimbi Vya Mashaytwaan
أَعُوذُ بكَلِمَاتِ اللهِ التَّامَّاتِ الَّتِي لَا يُجَاوِزُهُنَّ بَرٌّ ولَا فَاجرٌ مِن شّرِّ مَا خَلقَ، وبَرَأَ وذَرَأَ، ومِنْ شَرِّ مَا يَنْزِلُ مِنَ السَّمَاءِ وِمنْ شَرِّ مَا يَعْرُجُ فيهَا، ومِن شَرِّ مَا ذَرَأَ في الأَرْضِ ومِنْ شَرِّ مَا يَخْرُجُ مِنْهَا، وِمنْ شَرِّ فِتَنِ اللَّيْلِ والنَّهارِ، ومِنْ شَرِّ كُلِّ طارِقٍ إِلَّا طَارِقاً يَطْرُقُ بخَيْرٍ يَا رَحْمَنُ.
A’uwdhu bikalimaati-LLaahit-taammaat, allatiy laa yujaawizuhunna barrun wa laa faajirun min sharri maa Khalaqa, wa baraa, wa dharaa, wa min sharri maa yanzilu minas-samaai, wa min sharri maa ya’-ruju fiyhaa, wa min sharri maa dharaa fil ardhwi, wa min sharri maa yakhruju minhaa, wa min sharri fitanil-layli wan-nahaari wamin sharri kulli twaariqin illaa twaariqan yatwruqu bikhayrin yaa Rahmaan
Nakinga kwa maneno ya Allaah yaliyokamilika ambayo hayapiti mwema wala muovu, na shari ya Alichokiumba, na Akakitengeneza na kukianzisha. Na shari ya kinachoteremka kutoka mbinguni na shari ya kinachopanda huko, na shari ya kinachosambaa ardhini na shari ya inayotoka ndani yake, na shari ya fitna za usiku na za mchana na shari ya kila anayegonga usiku ila anayegonga kwa kheri Ee Rahmaan (Mwingi wa Rehma)[1]
[1]Hadiyth ya ‘Abdur-Rahmaan bin Khunays (رضي الله عنه) - Ahmad (3/419) kwa Isnaad Swahiyh na ibn As-Sunniy [637] na Isnaad yake ameisahihisha Al-Arnaawuwtw katika takhriyj yake ya At-Twahaawiyah (Uk.133) na angalia: Majmu’ Az-Zawaaid (10/127)