Imaam Ibn Baaz: Haijuzu Kuandika Chochote Katika Kaburi
Haijuzu Kuandika Chochote Katika Kaburi
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Haijuzu kuandika lolote katika kaburi la maiti, si Aayaat za Qur-aan wala kuandika lolote lile. Haijuzu kuandikwa katika chuma wala bango wala popote kwengineko (kuwekwa juu ya kaburi).”
[Majmuw’ Fataawaa (9/378)]
