Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Iweke Dunia Mkononi Mwako Na Si Moyoni Mwako
Iweke Dunia Mkononi Mwako Na Si Moyoni Mwako
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Chukua vya duniani vilivyokuwa ni halali kwako wala usisahau sehemu yako ya halali lakini iweke dunia mkononi mwako wala usiiweke moyoni mwako, na hili ndio muhimu zaidi.”
[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (3/369)]
