Imaam Ahmad: Asw-Swidq Na Ikhlaasw Ndio Inayonyanyua Watu
Asw-Swidq (Ukweli) Na Ikhlaasw (Niyyah Safi) Ndio Inayonyanyua Watu
Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah)
Alipotajiwa Imaam Ahmad Bin Hanbal (Rahimahu Allaah) kuhusu Asw-Swidq (ukweli) na Ikhlaasw (kumtakasia niyyah Allaah), alijibu kwa kusema:
“Kwa haya (mambo mawili) ndio watu hunyanyuliwa daraja.”
[Twabaqaat Al-Hanaabilah (1/147)]
