Skip to main content

Fataawaa: Udhwhiyyah (Kuchinja)06-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Aliyeoa Na Kuishi Na Baba Yake Udhwhiya Ya Baba Yake Inamtosheleza?

Aliyeoa Na Kuishi Na Baba Yake Udhwhiya Ya Baba Yake Inamtosheleza?

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Kijana aliyeoa mwenye mali anayekaa na babake je Udhwhiyah (kichinjo) ya babake kitamtosheleza?

JIBU:

a-Sunnah ni mtu kuchinja kwa ajili yake na watu wa nyumbani kwake wakubwa kwa wadogo.

b-Ama ikiwa kila mmoja anakaa nyumba yake tofauti basi kila mmoja anatakiwa achinje alipo (kivyake).

[Majmuw’ Al-Fataawaa (25/38)]