Imaam Ibn Rajab: Ramadhwaan: Swiyaam Ni Miongoni Mwa Subira Na Thawabu Zake Hazina Hesabu

 

Swiyaam Ni Miongoni Mwa Subira Na Thawabu Zake Hazina Hesabu

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Rajab amesema:

 

Swiyaam ni katika kuvuta subira na Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ametaja kwamba thawabu za subira hazina hesabu.

 

 

[Latwaaif, u.k 150]

 

Share