Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Ibn Al-Qayyim: Ramadhwaan: Ingekuwa Laylatul-Qadr Inapatikana Mwaka Mzima
Imaam Ibn Al-Qayyim: Ramadhwaan: Ingekuwa Laylatul-Qadr Inapatikana Mwaka Mzima
Ingekuwa Laylatul-Qadr Inapatikana Mwaka Mzima
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu Allaah)
www.alhidaaya.com
Ingelikuwa Laylatul-Qadr inapatikana mwaka mzima, ningelisimama kuswali mwaka mzima ili kuipata. Basi ufanyeje ikiwa inapatikana katika masiku kumi tu?
[Badaaiu Al-Fawaaid 1/55]