Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haijuzu Kuweka Au Kutundika Jina La Allaah Na La Muhammad Sambamba
Haijuzu Kuweka Au Kutundika Jina La Allaah Na La Muhammad Sambamba
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthyamiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
Haijuzu kuweka Jina la Allaah na jina la Muhammad sambamba kwa sababu hii ni aina ya shirki na kumlinganisha kiwizani Allaah na Rasuli Wake.
[Nuwr ‘Alaa Ad-Darb (2/4)]