Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haijuzu Kusema Yametaka Makadirio Au Zimetaka Zama
Haijuzu Kusema Yametaka Makadirio Au Zimetaka Zama
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Shaykh Ibn ‘Uthaymiyn: ‘’Yametaka Maqadirio”, na “Zimetaka dhwuruwf (zama)” - Haya ni matamko yenye kuchukiza, kwani neno Dhwuruwf maana yake ni zama na zama haziwezi kutaka, pia Makadirio hayawezi kutaka, bali Anayetaka ni Allaah (‘Azza wa Jalla)
[Fataawaa Muhammad bin Swaalih Al-‘Uthaymiyn (3/131 – 132)]