Imaam Ibn Taymiyyah: Qur-aan Katika Kuzingatiwa Maana Yake Ni Theluthi Tatu
Qur-aan Katika Kuzingatiwa Maana Yake Ni Theluthi Tatu
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Amesema Sheikhul-Islaam (Rahimahu-Allaah):
Qur-aan katika kuzingatiwa maana yake ni theluthi tatu:
1-Theluthi ya Tawhiyd
2-Theluthi ya Visa (vya Manabii na Ummah zilopita)
3-Theluthi ya maamrisho na makatazo.
[Iqtidhwaa Swiraatw Al-Mustaqiym 570]
