Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Iymaan Inapozidi Baada Ya Kusoma Qur-aan Ni Dalili Ya Tawfiyq
Iymaan Inapozidi Baada Ya Kusoma Qur-aan Ni Dalili Ya Tawfiyq
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):
Utakapoona katika nafsi yako kuwa kila unaposoma Qur-aan Iymaan huzidi, basi ujue kuwa hii ni dalili ya tawfiyq (kufanikiwa).
[Sharh Riyaadhw As-Swaalihiyn (1/545)]
