Imaam Wuhayb Ibn Al-Ward: Kilichoshadidi Zaidi Kulainisha Nyoyo Na Kuondosha Huzuni Ni Kusoma Qur-aan Kwa Kuzingatia
Kilichoshadidi Zaidi Kulainisha Nyoyo Na Kuondosha Huzuni Ni Kusoma Qur-aan Kwa Kuzingatia
Imaam Wuhayb Ibn Al-Ward (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Wuhayb Ibn Al-Ward (Rahimahu Allaah):
“Tumetazama hizi Ahaadiyth na Mawaidha lakini hatukuona kilicho shadidi zaidi katika kinacholainisha nyoyo au kuondosha huzuni kama kusoma Qur-aan kwa anayezingatia.”
[Hilyat Al-Awliyaa (8/143)]
![Share](/sw/sites/all/themes/corporateclean/images/shareiconsmall.png)