17-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Posa Na Hukumu Zake:Kama Mwanaume Hajapendezwa Na Mwanamke, Nini Afanye?

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الزَّوَاجِ

 

Kitabu Cha Ndoa

 

 

 

الخِطْبَةُ وأَحْكَامُهَا

 

Posa Na Hukumu Zake

 

 

 

Alhidaaya.com

 

 

 

17:   Kama Mwanaume Hajapendezwa Na Mwanamke, Nini Afanye?

 

Kama mwanaume atamwangalia mwanamke na asimpendeze, basi analotakiwa ni kunyamaza.  Haifai kutangazia chochote cha kumchafua mwanamke au familia yake.  Yale ambayo hayakumpendeza yeye yanaweza yakamfurahisha mwingine.  Ni vizuri pia asiseme kwamba hamtaki, hilo linaumiza, anyamaze tu.

 

 

Share