Tahadhari Na Misemo Ya Kimakosa Makubwa. Kusema: “Sunnah ya Allaah na Rasuli” Katika Yasiyomhusu Allaah

 

Tahadhari Na Misemo Ya Kimakosa Makubwa

 

Kusema: “Sunnah ya Allaah na Rasuli” Katika Yasiyomhusu Allaah

 

Alhidaaya.com

 

 

Kusema “Sunnah ya Allaah na Rasuli.” Usemi huu unatumiwa na baadhi ya wanaume wanapotaka kuongeza mke.

 

 

Haijuzu kwa sababu kuoa ni kwa wanaadam pekee na si Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ambaye Hahitaji mke wala mwana wala kuwa na mshirika!

 

Kwa hiyo la sahihi kumhusisha Rasuli pekee (Swalla Allaahu Alayhi wa aalihi wa sallam) kwa kusema: "Sunnah ya Rasuli"

 

 

 

 

 

 

 

Share