Watoto Wa Chupa (Test Tube) Wana Hukmu Gani Katika Uislaam
SW
Are test tube babies/ baby implants acceptable (halal) in Islam? Adoption of babies who will then carry the sir name of the non biological father?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako
Masharti yenyewe ni
i) Lazima wanandoa wawe wafunga ndoa ya halali.
ii) Iwe mke hawezi kuzaa kwa njia ya kawaida.
iii) Mbegu za uzazi ni lazima zitoke kwa wanandoa wenyewe.
Ama kuhusu adoption (kupanga mtoto) ni jambo ambalo limehimizwa
'Waiteni kwa ubini wa baba zao, maana huo ndio uadilifu mbele ya Allaah. Na
Aayah hii iko wazi kabisa katika kumkataza mlezi kumuita mtoto anayemlea kwa jina
Kwa maelezo zaidi ingia katika kiungo kifuatacho:
Uzazi Wa Kupandikiza Wa Chupa (Test Tube) Unafaa?
Na Allaah Anajua zaidi