Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao: 5 Itikadi Zao Kwa Swahaba Watukufu
Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao: 5
Itikadi Zao Kwa Swahaba Watukufu
Swahaba
Imani Yao Juu Ya Swahaba Wa Rasuli Wa Allaah (Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam)
1. Wanasema Swahaba wote waliritadi ila watatu baada ya kifo cha Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam)
2. Abuu Bakr, ‘Umar na ‘Uthmaan walimpora ‘Aliy cheo cha Ukhalifa
3. ‘Umar alikuwa ‘Kafiri wa asili’ na ‘Mzandiki’.
4. Abu Hurayrah alikuwa mwanachuoni wa Fiqhi, lakini ni Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) peke yake anayejua uongo alioutunga kwa ajili ya kumtetea Mu’awiya na wengine kama yeye, na madhara aliyofanyia Uislamu,
5. Abu Hurayrah alikuwa akitunga Hadiyth.
6. Mu’awiya alimpa sumu Al-Hasan.
7. Mu’awiyah alikuwa kiongozi dhalimu
8. Qaadhi Shuray alikuwa akitoa hukumu katika kesi alizokuwa akiletewa kwa ajili ya uongozi uliopo. Alikuwa fedhuli aliyepewa cheo cha hakimu.
9. Mtu anatakiwa kujiweka mbali na masanamu wane: Abu Bakr, ‘Umar, ‘Uthmaan na Mu’awiya na wanawake:’Aishah, Hafsa.
10. Mtu anatakiwa kuwalaani hao (waliotajwa katika kipengele 9) baada ya kila Swalaah.
11. Waliokusudiwa kama Fir’auni na Hamaan waliotajwa katika Qur-aan ni Abu Bakr na ‘Umar.
12. Abu Bakr na ‘Umar ni Makafiri.
13. Abu Bakr ni ng’ombe wa Banii Israaiyl (aliyetajwa Suratul Al-Baqrah).
14. Zuleikha wa Makkah, ‘Aaisha alikuwa na uzuri gani kiasi kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) mwenye miaka hamsini alivutiwa nae?
15. Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikubali kumuona mshenzi kama Hafsa pamoja na kwamba alikuwa mjane na uso wake ulikuwa umeharibika.
16. Kusudio (Katika Surawh Hujuraat) la Imaani ni Ali la Kufr ni Abu Bakr, la Fisq (kutotegemewa) ni ‘Umar ka ‘Iswayaan (uasi) ni ‘Uthmaan.
17. ‘Umar alikuwa mtoto wa zinaa.
18. Abu Bakr na ‘Umar ni wabaya kuliko hata Shetani, na ni wakazi wa Jahannam.
19. ‘Nitakapoingia Makkah na Madina kama mshindi wajibu wangu wa kwanza utakuwa ni kwenda kwenye kaburi la Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na kuchimbua makaburi ya masanamu wawili (yaani Abu Bakr na ‘Umar)’-Imam wa 12, Mahdi.
20. ‘Sisi Mashia tunawajua Swahaba watatu (Abu Bakr, ‘Umar na ‘Uthmaan) kuwa hawana Imani hata chembe’.
Marejeo:
(1) Anwaarun Nu’umaniyah – uk. 245. Juzuu 2. Nimatullah Jafaari./ swalFuru’ al Kafi, Kitaabul Rawdah :15 - Mullah Muhammad bin Yaqoob Kulaini Juzuu 3 uk. 115/ Usuul al Kaafi Juzuu 2, uk. 246 Rijaalul Kashi uk. 504.
(2) Al- Ihtijaaj - Tibrasi 83, 84./ Haqqul Yaqeen, uk. 157.
(3) Haqqul Yaqeen, 551/Kashful Asraar uk. 119.
(4) uk. 143 – Hukuumat al Islamiyah (Serikali ya Kiislamu)
(5) Hukuumat al Islamiyah (Serikali ya Kiislamu)
(6) Al-Anwaarun Nu’maniyah - Juzuu 2. uk. 88 - 87 Jazaari.
(7) Ibid. (8.) uk.81, Serikali ya Kiislamu
(9) Haqqul Yaqeen- Juzuu 2 uk. 519/ Furu al Kaafi uk. 342 Juzuu3/ Jilaa - ul- Uyoom – uk. 45 - 46/ Hayaatul Quluub uk. 375.
(10) Ainul Hayaa uk. 559.
(11) Haqqul Yaqeen uk. 342.
(12) Haqqul Yaqeen – uk. 552.
(13) Haqqul Yaqeen - Tafseer Qummi uk. 160.
(14) Haqeeat Fiqh Hanafi uk. 64 / Ghulaam Hussain Naqui.
(15) Ibid uk.124.
(16) Uswuul al Kaafi uk. 229. Juzuu 2.
(17.) Tazkiratul Aimmah – uk. 103 - 4.
(18.) Haqqul Yaqeen – uk. 509 - 510.
(19) Kitaab be Noujawanaan – uk. 8.
(20) Tajalliyaar-e-Sadaqaat – uk. 201 - Muhammed Hussain Dhelvi