Mume Aliyemdhulumu Mtalaka Wake Haki Zake. Anasema Akiomba Toba Basi Atasamehewa Na Allaah. Je, Vipi Mke Atalipwa Haki Yake?
SWALI:
Asalaam alaikum warahmatulahi wabarakatu. Mwanamume alie mdhulumu mtalaka wake haki zake zote za kinyumba kwa jumla
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu dhulma aliyofanyiwa mke na mtalaka wake. Ama swali
Moja wapo ya hayo mambo ni masharti ya toba kwa mtu aliyefanya makosa. Masharti yenyewe ni
1. Kuacha maasiya.
2. Kujuta katika kufanya hayo maasiya.
3. Kuazimia kutorudia makosa hayo.
4. Akiwa amemkosea mwanaadamu mwenziwe basi aombe msamaha kutoka kwake.
Kwa sharti la nne huyo mtalaka wake kusamehewa mpaka yeye amsamehe. Ikiwa hatomsamehe basi Allaah Aliyetukuka Atamlipa kwa kuchukua mazuri yake na kumpatia yeye Siku ya Qiyaamah. Tufahamu Allaah Aliyetukuka ni Muadilifu na hapendi dhulma kabisa na dhulma itakuwa
Na Allaah Anajua zaidi