Tendo la Ndoa kwa Utumiaji wa Sauti
SWALI:
Naomba kuuliza suala hili.
Tunajua kwamba, Kufanya tendo la ndoa ni haramu kwa mwanaadamu yoyote isipokuwa katika ndoa, na ndoa iliyokusudiwa ni ndoa ya Kiislam.
Katika kufanya tendo la ndoa katika ndoa ya Kiislamu, Mja hupata thawabu na hivyo ni kusema kwamba, tendo la ndoa ni Ibada. Suala langu ni hili, Je ni halali kufanya tendo la ndoa kwa ishara ya sauti kwa wanandoa wa Kiislamu ambao hawapo pamoja. Yaani, kwa mfano, Mke yuko
Je nini hukumu yake katika Uislamu?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu kwa swali lako kuhusu tendo la ndoa kupitia kwa njia ya sauti.
Msingi wa Uislamu ni kuwa mume kumfurahisha mke kwa njia ambayo inaruhusiwa ni ‘Ibaadah na kinyume chake pia. Ikiwa katika kutoa sauti hiyo kweli mume na mke watakuwa wanahisi kuondoa shahwa basi hakuna makatazo tuliyoyapata katika kishari’ah.
Hata hivyo, watafanya jambo
Kisha utafiti uliofanywa ni kuwa utoaji wa manii kwa njia ya mkono, sabuni na njia nyengine yoyote isiyokuwa ya kujamiiana na mkeo au kuota inadhoofisha maume ya mwanamme. Huenda kuepuka kuzini kukampelekea mwanamme kudhoofika kwa kiasi ambacho hata akija kukutana na mkewe hatoweza kufanya lolote.
Hivyo, mazungumzo baina ya mume na mke kwenye simu na wakastarehe kwa sauti hadi mmoja akamaliza haja yake bila mwanamme kutumia mkono kujichua au mwanamke kujisugua utupu wake,
Na Allaah Anajua zaidi