Akiwa Amemdanganya Mumewe Atakuwa Ametalikika (Talaka)?
SWALI
Assalam aleikum,
Nina watoto watatu nimezaa kila mwaka na watoto wangu wa wili wa mwisho nimezaa kwa operation.niko kwenye nchi ambayo sina msaada wowote kwa yeyote hata mume wangu hanisaidii sina nguvu za kuzaa kwa sasa watoto wangu bado wadogo. Mume wangu alinipa ruhusa kutumia family planning kwa miezi sita sasa amenilazimisha niwache kutumia. Nimemdanganya kumwambia kuwa nishawacha asema
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish
Mas-ala ya family planning kwa dharura inaruhusiwa katika sheria ya Kiislamu lakini hapa si mahali pake kwani katika suala hili limejibiwa kwa kina katika viungo vifuatavyo:
Kupanga Uzazi Na Sio Kuzuia Uzazi
Njia Gani Inayopasa Katika Sheria; Kuzuia Au Kupanga Uzazi?
Inafaa Kufunga Uzazi Kwa Sababu Ya Umri Mkubwa?
20 Kuhalalishwa ‘Azl (Kuchopoa Kabla Ya Kushusha)
21 Kutofanya ‘Azl Ni Bora Zaidi
Kuhusu mas-ala ya talaqa kwa hakika huwa mara nyingi wanaume wanachukulia ni
Kwa hivyo, nyinyi wawili si mume na mke tena lakini bado mnaweza kurudiana.
Hakika ni kuwa mume na mke wanatakiwa wawe makini na wawe wakweli baina
Baada ya hapo sasa kwa sababu za kiafya ambazo huenda zikakuletea shida unaposhika mimba itakuwa ni bora uweze kuzungumza na mumeo na umueleze shida unayopata. Ikiwa mumeo ni Muislamu mzuri na barabara itakuwa ni rahisi
Na nasaha nyingine ambayo inaweza kukusaidia katika kupanga uzazi ni kunyonyesha kwa muda wa miaka miwili ambapo itakufanya usiingie damuni kwa muda wa kunyonyesha hivyo kutoshika mimba. Japokuwa ufanisi wa kufanya hivi unapatikana kwa 50% peke ya wanawake. Wapo wanawake wanaonyoyesha na bado wanaingia ada
Na Allah Anajua zaidi.