Kila Bid’ah Ni Upotofu Japokuwa Watu Wataiona Ni Nzuri
Kila Bid’ah Ni Upotofu Japokuwa Watu Wataiona Ni Nzuri
www.alhidaaya.com
‘Abdullaah Bin ‘Umar (Radhwiya Allaahu ‘anhu)
“Kila bid’ah ni upotofu japokuwa watu wataiona ni nzuri.”
[Sunan Ad-Daarimiy (1/80), As-Sunnah lil-Mar-waziy (1/28), Majma’ Az-Zawaaid (1/434)]